Pages

Monday, December 2, 2013

KUFANYA "MANICURE" MARA KWA MARA HUHARIBU KUCHA

Improvement: Rebecca's nails after spending nearly £200 getting them back in shape
muonekano mzuri wa kucha hushawishi kuzifanyia manicure kucha mara kwa mara
 
 
Wanawake wengi na mimi nikiwa mmojawapo, huwa wanapenda sana kutengeneza kucha zao na kuzifanya ziwe katika muonekano mzuri na unaovutia au kwa kidhungu inafahamika kama "manicure"  habari hizi zinaeleza kuwa kufanya manicure ikiwa na maana ya ile hatua ya kukawangua kucha mara kwa  mara huondoa ile tabaka ya juu ya kucha na kuicah kucha ikiwa exposed na ni rahisi sana kupata maambukizi kupitia ngozi laini katika kucha, na pia huweza kusababisha kansa ya ngozi.
 
Nail fail: New, more aggressive styles of nail treatment are leaving women vulnerable to infections, rashes and even skin cancer

Inaelezwa pia kuwa kuweka kucha aina 'acrylic' mara kwa mara na kwa muda mrefu pia husababisha kucha kuharibika kwani kwani kucha huhitaji kukwanguliwa mara kwa mara na kisha baadaya hufunikwa kwa juu na kucha ya bandia ambayo huinyima uhuru kwa kupumua na kuifanya iwe laini sana na huweza kuvunjika au kuweka mipasuko ambayo huweza pia kusababisha maambukizi.
 
 
Damaged: Rebecca Mills's nails after her false nails were improperly removed
Acrylic pia iwapo zitawekwa mara kwa mara husababisha madhara makubwa kwa kucha za asili.
 
 

hivyo inashauriwa kuwa pamoja na kuataka utanashati huu wa kufanya manicure au kuweka acrylic nails, basi ni muhimu pia kufanya hivyo kwa utaratibu maalumu, yaani isiwe mara kwa mara, kutumia pia vifaa safi ambavyo vinaondoa uwezekano wa kuweka maambukizi katika kucha pamoja na kuacha kukwangua kucha kila mara unapomtembelea mtaalamu wako wa kucha.
 

No comments:

Post a Comment