Pages

Tuesday, December 3, 2013

HAPPY BIRTDAY TO ME

ZAB 124
1  Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa, 2  Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia. 3  Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu 4  Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu; 5  Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo. 6  Na ahimidiwe Bwana; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao. 7  Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka. 8  Msaada wetu u katika jina la Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi
 
 


Today I have become a year older, looking back I am forever grateful and thankful  for all that the Lord has been doing and blessed me for the past years... For everything that has happened in my life, I will always be thankful to almighty God. For the hits and misses, for the gains and loses, for my parents and grandparents, for my Husband and my kids, for my siblings and my friends, and acquaintances, you all are the reason I have become what I am today.

HAPPY BIRTHDAY TO ME AND MANY MORE HAPPY RETURNS

No comments:

Post a Comment