Ni mwanamke wa kimarekani kutoka mji wa Chicago, Sara Massey ambaye anajitambia na umbo lake kubwa ambapo mzunguko wa makalio yake pekee una kipimo cha futi 7, yaani hii ni sawa na urefu wa mtu kama Hasheem Thabeet!!!! Mama huyo mwenye watoto wawili anasema anajivuni umbo lake hilo, japokuwa pia linamletea matatizo ya kukaa, kuoita katika milago, kujifunga mikanda akiwa katika gari bna mamb mengi ya namna hiyo. Kwa kutafakari tu baada ya kuiona habari hii ni wazi kuwa pamoja na kujivunia umbo kubwa na kuwa na amani nalo bado kuna umuhimu wa huyu mama kuangalia namna ya kupunguza kidogo huo mwili maana ni mlango kwa magonjwa mengi ikiwemo ya moyo na anaweza fkia mahyalia akashindwa hata kunyayuka kabisa. Angalia picha hizi hapa chini, niambie what do you think?
|
jikoni akishughulika |
|
kwa ukubwa wa wowow lake mtu anakaa juu yake bila wasiwasi kama kakalia kiti vile |
|
kufunga mkanda akiwa garini ni issue, hapo hujazungumzia kwenye ndege, mabasi etc |
|
akiwa mazoezini, mkao wa huyo trainer unaonyesha kabisa kuwa hategemei makubwa kutoka kwa mteja wake.. |
No comments:
Post a Comment