Pages

Sunday, December 1, 2013

HAPPY NEW MONTH


                          
HAPPY NEW MONTH

Leo ni siku mpya katika mwezi huu wa Desemba ambapo wote tunaingia tukiwa na matumaini na mipango mingi, pia kujitathimini ambapo ni siku 30 pia kabla hautjaingia katika mwaka mpya wa 2014.
nikiwa ni mmoja ambaye pia  naamini kabisa kuwa ninahuishwa na matumaini mpya kwa mwezi huu, nakuhamasisha na wewe msomaji wangu kuwa huu ni mwezi ambao tunapaswa wote kabisa kuomba kwa imani na matumaini kuwa yoye ambayo Mungu aliyapanga katika mwezi huu na mwaka huu yakatimilike...Kila mtu kwa nafsi yake anajua ni nini hitaji alke kwa Mungu wetu kabla ya mwaka huu kuisha....iwe ni kazi, motto, nyumba ya kuishi, mapatano katika familia, vyeo, na mambo kadha wa kadha, tuendelee kuamini na kuomba Mungu ili akatumkumbuke na kutupa fadhili zake na neema zake ili kuweza kuhuishwa upya kupitia ahadi hizo.

Nakutakia mwezi wenye Baraka tele, afya nema, matumaini yenye kuzaa matunda, na zaidi ibada kwa Mungu ambaye ndiye sababu ya zizi kuwepo duniani hapa.

No comments:

Post a Comment