Leo hii nawaletea matukio kwa picha kuhusu mwambao wa ziwa Nyasa na shughuli mbalimbali ambazo zinafanyika humo, kama nilivyoyapata kutoka mitandao mengine ya kijamii.
usafiri wa boti ndio unaotumika kwa wananchi wanaohitaji kwenda upande mwingine wa ziwa
mandhari ya shule hii inavutia hasa kwa kuwa ipo pembezoni kabisa mwa ziwa nyasa
shughuli mbalimbali ikiwemo za ukaushaji dagaa na samaki kando kando ya ziwa nyasa
mama akiogelea ndani ya ziwa nyasa lililopo katika wilaya ya Ludewa
Yes...we are really blessed........
No comments:
Post a Comment