Pages

Friday, November 15, 2013

FROM LUDEWA, WITH LOVE

Kuna usemi wa Kiswahili kuwa mkataa kwao ni mtumwa, leo hii naileta kwako wilaya ya Ludewa ambapo mimi ndio natoka huko kwani ni asili yetu. Bibi yangu mzaa baba ndo alikozaliwa na hivyo sisi ni kabila la Wapangwa ambao ni wakazi wa asili wa wilaya hiyo.

Ludewa District[ is one of five districts in the Njombe Region in Tanzania, East Africa. Prior to 2012, the district was one of the seven districts of Iringa Region. The town of Ludewa is the administrative seat of the district. A hospital is located in the city. The district is bordered to the north by the Njombe Rural District and Makete District to the southeast by the Ruvuma Region and to the southwest by the country of Malawi across Lake Malawi/Lake Nyasa

Recently there have been discoveries of massive coal deposits, where foreign investors have been on board in Ludewa putting infrastructure that would enable to awaken these natural deposits into economic use and gain for both parties. also there has been small scale mining activities for gold and toumeline, a precious gem. Most of the population depends on agriculture and fishing as the main economic activities.

Punda hutumika pia kama kurahisisha usafiri na ubebaji wa mizigo
 
 
                                     
ng'ombe hutumika kubebea mizigo, kulimia.




kipindi cha masika upitaji wa barabara huwa wa shida kutokana na tope jingi na utelezi, jitihada za kuweka lami barabara za Ludewa zinaendelea kwa sasa.


viongozi na wawekezaji wakiwa wamepiga picha nyuma ya mlima ambapo makaa ya mawe na chuma yamegunduliwa.
ngoma ni sehemu ya tamaduni zinazotumika kusherehekea katika matukio mbalimbali

 Mh Rais Kikwete akinyoosha mkono kuelekea kilima ambapo chuma na makaa ya mawe vimegunduliwa
 

Mh. waziri Mkuu Pinda akiwa na mgunge wa Ludewa Mh. Filikunjombe katika moja ya ziara za waziri Mkuu wilayani humo

sehemu ya ziwa nyasa inapatikana katika wilaya ya Ludewa, hapa watoto wakiwa katika mtumbwi ndani ya ziwa hilo.

Karibu Ludewa rafiki..........

No comments:

Post a Comment