Pages

Saturday, November 23, 2013

SHIMO HUKO URUSI LAENDELEA KUWAKA KWA MIAKA ZAIDI YA 40........

Wnasayansi waliokuwa wanatafuta mafuta katika jangwa la Karakam katika eneo la Derweze, Turkmenistan, iliyokuwa chini ya Urusi ya zamani kama kawaida katika taratibu za utafutaji wa gesi ardhini walilitambua eneo ambalo waliamini lilikuwa na akiba kubwa ya mafuta. Hicho ndicho  kilichowafanya  wataalamu hao kuchimba kuelekea chini zaidi kwa vifaa maalumu ili kupata mafuta yaliyoaminika kuwa chini ndani ya eneo hilo.

Lakini baada ya kupachimba, mahala hapo palitumbukia ndani na kuacha shimo kubwa na pana ambapo pia badala ya mafuta waliyotegemea kuyapata walikutana na gesi aina ya methane ambayo waliamini kuwa wangeiacha iendelee kuvuja hewani ingesababisha madhara makubwa kwa watu waliokuwa wanakaa maeneo ya jirani.  Hivyo ilibidi waache kuchimba shimo hilo na kuamua kulichoma kwa kuwasha moto ambao waliamini ungenguza gesi hiyo na kupaacha mahala hapo pakiwa salama na pakiwa hapana tena mvujo wa gesi. Kinachostaajabisha ni kuwa tokea wataalamu hao walipopachoma moto mahala hapo mwaka 1971 hadi leo panaendelea kuwaka moto, na kuwa kivutio kikubwa cha watalii wanaotoka mbali kuja kushuhudia eneo hilo ambalo wenyeji wamelipachika jina la 'milango ya kuzimu' moto huo unaendelea kuwaka huku kukitoa pia na matope ya moto na miale ya moto usioisha hadi sasa.

Tazama picha hapo chini............

shimo hilo lililobatizwa mlango wa kuzimu likionekana kwa mbali




miale ya moto isiyoisha ikitoka ikionekana katika shimo hilo


picha ya shimo kwa karibu

BIG GIRLZ THINGZ!!!!!

My favourite Nollywood actress also acquired the gold  iPhone trend which is catching up really fast among celebrities and other high rollers....She posted on instagram how har work pays...Well if you work hard for it you can flaunt it......


'DREAMLIFTER' PILOT LANDS AT THE WRONG AIRPORT

After you read this you will have every excuse when you forget where you forgot your car keys.....LOL!!!!!
 
So in this terrifying radio exchange just before landing a massive 235 ft cargo plane at the wrong, and tiny, Kansas airport late on Wednesday, the pilot sounded confused. The man could be heard mixing up east and west, saying he could not read his own handwriting and getting distracted from the conversation by 'looking at something else.' Moments after touching down, when puzzled controllers told the pilot that he was 9 miles north of his intended destination, he made an unusual admission. 'Uh, yes sir, we just landed at the other airport.' His calm, understated response belied the danger of the situation:
 
The mammoth, Dreamlifter aircraft had just landed on the wrong stretch of concrete, miles from its planned path, in the dark.  The runway just happened to be long enough to land. Fortunately the plane took off without incident on Thursday and landed at its intended destination. While it is rare for a pilot to land at the wrong airport, occasional confusion is not unusual.

so even the brains which can fly the planes get this confused, surely I have every excuse next time I forget where I parked my car...;-)

Pictures of the plane  which landed on the wrong airport below....

On its way: The Dreamlifter was cheered on by crowds as it finally cleared the tiny runway at Jabara and made its way to McConnell, nine miles away
 
 
 
 
Media interest: TV crews at the tiny airfield in Kansas where the huge plane got stranded overnight
Media crew at the tiny airfield in Kansas where the huge plane got stranded overnight
 
 

Lift off: The plane puts some distance between it and the runway as the pilot successfully navigates the huge jet off the tiny Kansas runway after mistakenly landing the day before
The pilot successfully navigated the huge jet off the tiny Kansas runway after mistakenly landing the day before



TONTOH DIKE SHOWS OFF GLOD PLATED, DIAMOND ENCRUSTED iPHONE

She is a beautiful and one of the Nollywood most talked about and controversial actress, Tonto Dikeh, who  recently posted her 'big girls things" on the social network and let us drool over..heheheee!!!!

Tonto took it to another level by adding diamonds on her gold plated iPhone, and to add some seriousness to her business she also showed off her new 18k yellow gold Rolex with customized bezel diamond big face....real big girls things.....










Courtsey of Linda Ikeji blogspot

FROM LUDEWA WITH LOVE

By now I am sure you are familiar with the name Ludewa and my interest in the place...waswahili wanavyosema mtu kwao au mcheza kwao hutunzwa...let me boast about the natural riches of my heritage.

Leo hii nawaletea matukio kwa picha kuhusu mwambao wa ziwa Nyasa na shughuli mbalimbali ambazo zinafanyika humo, kama nilivyoyapata kutoka mitandao mengine ya kijamii.


usafiri wa boti ndio unaotumika kwa wananchi wanaohitaji kwenda upande mwingine wa ziwa



mandhari ya shule hii inavutia hasa kwa kuwa ipo pembezoni kabisa mwa ziwa nyasa
 
 
shughuli mbalimbali ikiwemo za ukaushaji dagaa na samaki kando kando ya ziwa nyasa


mama akiogelea ndani ya ziwa nyasa lililopo katika wilaya ya Ludewa
 
 
Yes...we are really blessed........
 

UREMBO ULIMBO............

Nimeukumbuka huu usemi wa Kiswahili, ni sawa na ule unaosema pia kata pua uunge wajihi, baada ya kuisoma habari hii kutoka gazeti pendwa. Ni kitu ambacho pia nimekuwa nikiangal huku nikiwa na maswali mengi kuliko majibu ninapokutana na warembo mijini wakiwa wamepachika hizi kope za bandia na nilipoisoma hii habari, I was like "Yeah, I saw it coming" lakini kwa masikitiko kwani ni habari ya kuhuzunisha sana. pamoja na kuhuzunisha lakini pia naamini itatupa funzo wengi wetu.
Hebu isome uone mwenyewe.
 

AMA kweli hujafa hujaumbika, mrembo Khadija Omar, mkazi wa Kigogo, Dar amepata pigo kufuatia kupofuka macho alipokuwa akiwekwa nyusi bandia katika saluni moja iliyopo maeneo hayo, Risasi Jumamosi lina mkasa mzima.

Tukio hilo lilitokea Novemba 14, 2013 na kuvuta hisia za watu wengi waliosikia na kushuhudia mkasa huo.
Akizungumza na paparazi wetu juzi huku akimwaga machozi, Khadija alisema siku ya tukio saa 11 jioni alikwenda kwenye saluni hiyo iliyopo jirani na anapoishi kwa lengo la kubadili mwonekano wake wa macho kama akina dada wengine wanavyofanya.


“Mara tu baada ya kunibandika kope nilianza kuona giza, nikawaeleza akina dada waliniweka lakini wakanipuuza na kuniambia mimi ni mwoga.

“Muda mfupi mbele hali yangu ikawa mbaya zaidi, ikabidi wazibandue kope lakini juhudi zao ziligonga mwamba kwa sababu walitumia gundi kali, ikabidi nirudi nyumbani,”alisema Khadija.
Akaongeza: “Nikiwa njiani macho yaliniuma sana na kuzidi kupoteza uwezo wake wa kuona, ghafla nikaanguka chini. Akatokea msamaria mwema na kunipeleka nyumbani,” aliongeza.
Khadija alisema kesho yake alikimbizwa Hospitali ya Amana, Dar ambako alipatiwa dawa bila ya kutolewa kope hizo na kuruhusiwa kurudi nyumbani.

“Nilipofika nyumbani hali ilizidi kuwa mbaya nikalazimika kupelekwa  Hospitali ya Macho ya CCBRT (Msasani, Dar) ili kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hilo,” aliongeza Khadija kwa majonzi.
Alisema kule CCBRT alijikuta akiangua kilio baada ya madaktari kumwambia kope hizo haziwezi kutolewa mpaka zikatwe na mkasi.
Baada ya zoezi hilo kufanyika, Jumapili iliyopita Khadija aliweza kufungua macho kwa mara ya kwanza tangu alipotokewa na hali hiyo lakini bila kuona sawasawa.

Jumatatu iliyopita Khadija aliruhusiwa kurudi kwake lakini akiwa hana uwezo wa kuona na kutakiwa kurejea tena hospitalini hapo baada ya wiki tatu kwa uchunguzi zaidi.
Daktari mmoja wa CCBRT ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake gazetini alisema: “Khadija anaweza kuona kama zamani lakini itamchukua muda mrefu kutokana na madhara ya gundi ya ‘supa glu’ iliyotumika.
Taarifa zaidi zinasema, Jane na Koku wafanyakazi wa saluni waliomuweka kope hizo Khadija  walikamatwa na Polisi wa Kituo cha Magomeni jijini Dar na kufunguliwa jalada la uchunguzi namba MGN/RB/13021/2013.

SUPER GLUE KWA KOPE....!!!!






AMA kweli hujafa hujaumbika, mrembo Khadija Omar, mkazi wa Kigogo, Dar amepata pigo kufuatia kupofuka macho alipokuwa akiwekwa nyusi bandia katika saluni moja iliyopo maeneo hayo, Risasi Jumamosi lina mkasa mzima.
Tukio hilo lilitokea Novemba 14, 2013 na kuvuta hisia za watu wengi waliosikia na kushuhudia mkasa huo.
Akizungumza na paparazi wetu juzi huku akimwaga machozi, Khadija alisema siku ya tukio saa 11 jioni alikwenda kwenye saluni hiyo iliyopo jirani na anapoishi kwa lengo la kubadili mwonekano wake wa macho kama akina dada wengine wanavyofanya.

“Mara tu baada ya kunibandika kope nilianza kuona giza, nikawaeleza akina dada waliniweka lakini wakanipuuza na kuniambia mimi ni mwoga.
“Muda mfupi mbele hali yangu ikawa mbaya zaidi, ikabidi wazibandue kope lakini juhudi zao ziligonga mwamba kwa sababu walitumia gundi kali, ikabidi nirudi nyumbani,”alisema Khadija.
Akaongeza: “Nikiwa njiani macho yaliniuma sana na kuzidi kupoteza uwezo wake wa kuona, ghafla nikaanguka chini. Akatokea msamaria mwema na kunipeleka nyumbani,” aliongeza.
Khadija alisema kesho yake alikimbizwa Hospitali ya Amana, Dar ambako alipatiwa dawa bila ya kutolewa kope hizo na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
“Nilipofika nyumbani hali ilizidi kuwa mbaya nikalazimika kupelekwa  Hospitali ya Macho ya CCBRT (Msasani, Dar) ili kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hilo,” aliongeza Khadija kwa majonzi.
Alisema kule CCBRT alijikuta akiangua kilio baada ya madaktari kumwambia kope hizo haziwezi kutolewa mpaka zikatwe na mkasi.
Baada ya zoezi hilo kufanyika, Jumapili iliyopita Khadija aliweza kufungua macho kwa mara ya kwanza tangu alipotokewa na hali hiyo lakini bila kuona sawasawa.
Jumatatu iliyopita Khadija aliruhusiwa kurudi kwake lakini akiwa hana uwezo wa kuona na kutakiwa kurejea tena hospitalini hapo baada ya wiki tatu kwa uchunguzi zaidi.
Daktari mmoja wa CCBRT ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake gazetini alisema: “Khadija anaweza kuona kama zamani lakini itamchukua muda mrefu kutokana na madhara ya gundi ya ‘supa glu’ iliyotumika.
Taarifa zaidi zinasema, Jane na Koku wafanyakazi wa saluni waliomuweka kope hizo Khadija  walikamatwa na Polisi wa Kituo cha Magomeni jijini Dar na kufunguliwa jalada la uchunguzi namba MGN/RB/13021/2013.

Friday, November 22, 2013

BEST MAN MOVIE SEQUELS BEST MAN HOLIDAY.....

It is Friday and you can have your popcorn ready and the best spot on the sofa good movie, and this time around the cast who made possible The Best Men in 1999 have assembled for a better yet sequel, The Best Man Holiday. Like its original, it is a 2013 American Christmas comedy-drama film directed and written by Malcolm D. Lee. The film, released on November 15 this year by Universal Pictures, stars Taye Diggs, Terrence Howard, HaroldPerrineau, Morris Chestnut, Sanaa Lathan, Nia Long, and Regina Hall, reprising their roles from the 1999 film along with the supporting cast, and ladies this time around they have the added Eddie Cibrian as Brian MacDonald who dates Nia Long as Jordan Armstrong in the movie. I guarantee that you wont be disappointed, enjoy the movie.

                          

The Best Man Holiday.jpg
The cover of the Sequel The Best Man Holiday
 
The Best Man (1999 film) poster.jpg
The 1999  movie cover of original The Best Man
 

THE STARS OF CLASSIC MOVIE "COMING TO AMERICA" 25 YEARS LATER

I don't remember how many times I have watched this movie....it is hilarious, original and funny and every time I watch it,  I have to watch it some more. I am sure that's how many feel about this classic comedy. The movie tells the hilarious tale of an African prince named Akeem (played by Eddie) who travels to the dreamy United States of America - New York's Queens neighborhood, specifically - with his best friend Semmi (played by Arsenio), in search of a bride who can stimulate his 'intellect' as well as his 'loins'.


The stars of popular 1988 comedy Coming To America Eddie Murphy and Arsenio reunited for Arsenio Hall show on Tuesday and were welcomed with raucous applause from the audience. The pair of funnymen could barely contain their own laughter as they reminisced on the quirky mishaps following the film's release, but amongst it all they made sure to find a moment to praise their own everlasting good looks. Upon seeing snaps of themselves from all the way back in 1988, both men appeared rather chuffed with their graceful aging abilities. 'We still kind of look the same too,' Eddie quipped. And Arsenio could not help but agree: 'A little bit,' he said.
 
Eddie continued on, clearly more than comfortable flying his own flag: 'Most people, you cut to 25 years later, they'd be like, 'ooh Lord!' Sometimes they have to tell you who they are!' So while the audience was clearly thrilled to see two of their favourite comedians back in the same room, they appeared to confirm that this was as close as they would get to a Coming To America sequel, because of the legal battles the project faced form the day it was released.
While Arsenio continues kicking goals with his popular talk show, Eddie has been enjoying the loved-up life with his spunky Australian model girlfriend, Paige Butcher.


Just like old times: Eddie Murphy reunited with his Coming To America co-star on The Arsenio Hall show on Tuesday, where the pair discussed why a sequel to the popular 80s comedy would not be happening
The stars now laughing Eddie Murphy reunited with his Coming To America co-star on The Arsenio Hall show on Tuesday.



Fish out of water: Eddie and Arsenio played Akeem and Semmi, who came to America from an African country in search of a bride for Akem to bring back homeEddie and Arsenio played Akeem and Semmi, who came to America from an African country in search of a bride for Akem to bring back home
 




 




 

THERE IS NOTHING LIKE TOO MANY SHOES FOR A WOMAN..........

We all know how women love shoes, how we love shoes and would not get enough of them. Victoria Beckham proved just that recently, when through her tweeter account she let the world have the glimpse of  the mountain of shoes she hauled from her wardrobe.
The 39-year-old former Spice Girl and her husband David are donating thousands of pounds worth of designer clothes to their local charity shop to raise cash for victims of Typhoon Haiyan.
Mrs Beckham yesterday tweeted a picture of the enormous shoe collection, along with a shot of her wearing jeans, a grey top and white trainers sitting in a cardboard box surrounded by other boxes.
The cast-offs, which were due to go on sale this Friday at 11am, included  hundreds of pairs of Victoria’s shoes, which are UK sizes four and five,  their extensive cloth collection and many of David’s signature baseball caps. The couple have handed over boxes full of their old clothes and shoes to a British Red Cross shop in Chelsea, west London, to help fund the charity’s work in the Philippines.
 
View image on Twitter
She tweeted this picture of the shoes mountain ready to be packed and sent to a worthy cause.





View image on Twitter
shoes already packed
 



Mayhem: Hundreds of people are expected to descend on the shop to pick up the clothes
some of the clothes donated on display
 
In her shoes: Fans will be able to get their hands on Victoria's footwear - which are sizes four and five
I wouldn't mind getting a pair of these beauties and add to my own meager collection...;-)
 
 
 




 


Wednesday, November 20, 2013

WHO WORE IT BETTER?

The 31-year-old Le Anne Rhimes showed off her hourglass shape on Tuesday in Beverly Hills in the same grey Donna Karan dress already worn by Kim Kardashian and Jennifer Hudson, both of whom donned the clingy frock on the same day in October.
So who do you think wore it better
?
Healthy and hot: LeAnn let her natural beauty shine in the tight dress that accentuated her figureLate to the party? LeAnn Rimes wore the same figure-hugging dress on Tuesday in LA already worn by Kim Kardashian and Jennifer Hudson Late to the party? LeAnn Rimes wore the same figure-hugging dress on Tuesday in LA already worn by Kim Kardashian and Jennifer Hudson
Le Anne Rimes, Kim Kardshian and Jeniffer Hudson in the figure hugging dress.
 
 
 
 
                                    
 
                       The dress is by Donna Karan, taken from the Fall 2013 collection.

LOVE HEALS.....

His actions have touched many across the world and revitalised the Catholic church. But for Pope Francis, comforting this stricken man after today's weekly audience in St Peter's Square was another simple act of compassion. In scenes strikingly similar to his encounter with the disfigured Vinicio Riva two weeks before, the pontiff first spoke with the worshipper and then put his arms around him, blessing him.
The man's identity is not known, nor are the details of what caused such terrible damage to his face.   'My head was against his chest his arms were wrapped around me. It lasted just over a minute, but to me it seemed like an eternity.'
Together in prayer: The Pope and the disabled man shared a private moment where Francis I gestured up to the sky
 

 Pope Francis (left) comforted Vinicio Riva, a 53-year-old Italian who had travelled to Rome for a audience in Saint Peter's Square earlier this month
 

Vinicio Riva with a picture of his late mother Rosaria, who suffered from the same condition he does
 

Pope Francis has made a habit of dedicating time to greet and bless sick or disabled people at the end of the general audience
 

 
 

Monday, November 18, 2013

UNAYOHITAJI KUFAHAMU KUHUSU HINA

Mu- hina ni Mti mdogodogo kiasi ambao hufanana sana na Mchongoma kwa umbo na ambao ukikua una majani mengi sana. Mti huu humea mwituni lakini pia watu (hasa wa mikoa ya mwambao na pwani) bado wanaupanda uani katika Majumba yao. Muhina huchumwa/hukatwa majani yake, yakakaushwa juani na kisha ukachungwa na kutiwa ndani ya “madebe kasha” kisha kupelekwa kwenye mji kuuzwa. Watu hununua kwa kipimo kulingana na matumizi.
 
MATUMIZI YA HINA
Unga wa hina hutiwa ndani ya bakuli ukaongezwa chai ya rangi na ndimu kisha kupakwa, Hina hupakwa kwa kutumia vidole vya Mikono au Kijiti japo kwa siku za karibuni kuna vitendea kazi mbalimbali ambavyo hutumika rasmi kupakia. Hina/Heena ina Asili ndefu mno katika taratibu za Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi kuanzia Bara Hindi, Uarabuni, Afrika Kaskazini mpaka Upwa wa Pwani ya Afrika Mashariki. Hina ipo tangu jadi sana, ikihusisha Michoro na nakshinakshi zenye kuvutia kuangalia na kumpendezesha mpakaji, ikitumika upande wa bara Arabu, India, Misri, Zanzibar, Comoro, Tanga, Mombasa na Dar es salaam kwa kujipamba, ni Miongoni mwa mapambo na tamaduni za asili sana ya watu wa Pwani.
 
DAWA.
Lakini hapa kwetu (Tanzania) pia Hina/Heena hutumika kama dawa kwa baadhi ya jamii na imeleta mafanikio makubwa tu katika matumizi yake. Wataalam wengi wa Tiba Asilia wamekuwa wakiitumia Hina kama dawa ya kupoza presha ikiwa juu, uti wa mgongo, maumivu ya viungo, miguu na pia kwa watu wazima ikitumika kubadilisha rangi za nywele zao (Kwa Taratibu za kiislam Wazee wenye mvi hawaruhusiwi kupaka nywele zao rangi nyeusi bali huruhusiwa kupaka Hina).
 
SHEREHE NA FURAHA.
Hina mara nyingi huashiria Furaha, pongezi na sherehe,Katika sherehe zetu za waswahili tuko na heena party. Bwana harusi hufinikwa na kitambaa na kupakwa heena kwenye mikono yote na mwili.
Pia Mwanamke anayeolewa hupambwa na kunakshiwa kwa Michoro mbalimbali ya Hina na Piko mwilini mwake ili kumfanya avutie zaidi kwa Mumewe, kwenye matukio ya Harusi ukiacha Bibi Harusi lakini pia hata Wanawake wengine nao hujiremba na kujipamba kwa Hina.
Mama Mjamzito anapojifungua pia hupaka Hina wakati akiwa tayari kukabiliana tena na Mumewe, hilo hufanyika ili kuongeza mvuto mwilini mwake kwa kuwa anakuwa ana muda Mrefu hajakutana naye. Hina hupakwa pia wakati wa Sikukuu, hasa Eid. Ni jambo la Kawaida kuwakuta Watoto na Wanawake wakirembwa na kupambwa kwa Hina kuelekea Sherehe za Sikukuu za Eid.
 
HESHIMA YA MATUMIZI.
Hina ni pambo zito sana na lenye maana kubwa kwa watu wa Pwani, Hina ni Kichocheo Kizito cha Mapenzi, kachumbari yenye mshawasha na kipambo chenye kuchochea Nakshinakshi na kuonyesha Furaha na Pongezi. Hivyo kama ilivyo kwa kitu chochote cha Kimila na Kitamaduni ambacho ni kizito na chenye Maana kubwa kama hiki lazima kiwe na Masharti, Heshima na Kanuni zake za Kimatumizi. Hina inapakwa na Watu wa Rika na Jinsia zote, watoto mpaka watu wazima, Wake pamoja na Waume. Lakini kuna tofauti kubwa katika Aina ya Upakaji, Muda wa Kupakwa na sababu za kupaka.
 
WATOTO NA WANAWARI.
Watoto wanaopakwa Hina hawachorwi maua ya aina yoyote, Bali hupakwa tu Hina tupu kawaida kwenye Nyayo na Mikono zaidi wakichorwa Machenza. Watoto hupakwa hina mara nyingi usiku wa kuamkia siku ya Eid (Eid El Hajj au Eid El Fitr), mikono na miguu inafungwa majani ya mnyonyo, analala nayo. Hawa mara nyingi wanakuwa ni watoto wa kike na wa kiume ambao wanakuwa hawajabalehe.
 
Watoto wa kiume wakishakuwa wa kubalehe (Mabarobaro) hawapaki hina mpaka siku ya harusi. Ila watoto wa kike waliobalehe (Wanawari) watapaka hiyo hina isiyo na maua mikononi na miguuni siku za sikukuu hata wakishavunga ungo. Makabila tofauti ya Pwani yametofautiana juu ya hili la kuruhusu Wanawari kupaka Hina kaika baadhi ya sehemu au kuwakataza kabisa, Wanubi na Baadhi ya Makabila ya Tanga wamewaruhusu lakini kwa ile Hina isiyo na Maua na hupaswa kupakwa Miguuni na Mikononi tu. Makabila Mengi ya Visiwa vya Comoro, maeneo ya Zanzibar na hata Tanga yamezuia kabisa Wanawari kupaka Hina (Japo huruhusu kwa watoto wadogo wa Kike). Mila na Desturi haziwaruhusu wanawari kupaka hina madhumuni hasa ya kuwazuia kupaka hina ikiwa ni kuwaepusha na jicho la wanaume Wakware.
 
AJUZA NA VIKONGWE.
Uzee huja na mengi, ukiondoa Busara, Hekima na ile dhana ya kuona mengi lakini pia hudhoofisha viungo vya Mwili na kuvifanya vichushe, Miongoni mwa vinavyozoofika zaidi ni Nywele na Ndevu ambazo huota Mvi na kubadilika kabisa rangi yake ya Asili. Vikongwe hupenda sana kuitumia Hina kupaka kwenye Videvu vyao . Nyanya zetu nao hupaka Hina vichwani mwao ili kuhuisha Nywele zao na kuzifanya zipendeze hata wakiwa uzeeni, Wapo wachache ambao huendeleza asili yao ya kujiremba na kuipaka Miguuni, Mikononi, Mapajani nk
 
HARUSI.
Siku ya harusi sasa kwa mara ya kwanza kabisa binti ndio anapakwa hina yenye maua na urembo, ikinakshiwa kwa piko na kuenezwa kuanzia kwenye nyayo za Miguu mpaka kifuani mwake. Na siku ya bi harusi kupakwa Hina/Heena huwa maalumu, kunakuwa na mwendelezo wa shamra shamra za harusi, maana nazo zina taratibu zake.
Siku ya hina kinamama wanacheza na kuimba, bi harusi akishamaliza kupakwa hina, anaachwa pale hina inakauka, sasa inabebwa sahani ya hina huku ikiwa imefunikwa vizuri, kwa nyimbo na mgoma inapelekwa kwa bwana harusi mtarajiwa.
Huko na yeye (Bwana Harusi) anakuwa amekaa na nduguze (mara nyingi wanawake) wanasubiri Hina kutoka kwa bi harusi, ikifika ile hina wa kwa mke watataka kumpaka bwana harusi na wa kwa mume watatoa pesa au zawadi yoyote kuwapa ili kijana wao asisilibwe hina mkono mzima, mara nyingi huishia kupaka kwenye kidole/vidole kidogo tu kama ada.
Basi hapo tena nderemo na vifijo na vigelele ndio shamra shamra za harusi hizo (Kiasili hili Jambo la kupaka Hina Bwana Harusi na Masingaji ni Mila ya Kinubi kutoka huko Sudan, Japo baadhi ya Makabila ya Pwani nao hufanya lakini mara nyingi Wanaume wanakataa kwa sababu za kuona haya na pia Dini).
 
MIIKO.
Lakini kikubwa sana ni kuwa hina ina maana kubwa sana katika mambo ya Chumbani, Nakshi na Maua yake huongeza Mvuto wa Pekee na wa Ajabu kati Umbo la Mwanamke. Binafsi Mwanamke akiwa amepaka Hina nakuwa na Hisia za Ziada sana Juu yake. Lakini Hina ina Miiko yake kwa wale wanaipaka, Kikawaida utakuta Mwanamke akishakuwa nyumbani kwake kwanza shurti apate ruhusa ya mume kupaka hina, sio kujipakia tu.
Pili kwa wale walioolewa ni Mwiko Urembo wa Hina zao kuonwa na wanaume wa barabarani, tatu Mwanamke akiwa mjamzito hatakiwi kupaka hina maana shughuli yake hataiweza kama mume anajua maana ya hina na jinsi ya kuitumia, inashauriwa usubiri mpaka umalize kuoga nifasi uwe tayari kumpokea mume ndio sasa unapaka hina, ndio maana unaona kinamama wengi wanapaka hina wakitoka arubaini. Hapa nazungumzia hina kwa maana ya hina nyekundu
 
(Kwa hisani ya Jukwaa Huru Blogspot)
               



 
 


                                                          


 
 

DEFYING THE STEREOTYPING, SHE IS A MODEL AT SIZE 26, WEIGHTING 136 KGS!!!!!

Velvet D'Amour, a New York native now based in Paris, tried to make it as a model when she was 21 years old but was deemed 'too fat' by agents at a petite 53 kgs. Ironically, the five-foot-eight-inch blonde went on to get her big break in French Vogue and on the catwalk for John Galliano and Jean Paul Gaultier, aged 38, weighing 136 kgs and a size 26.
 
For the past eight years she has been striving to 'push size acceptance along' and today unveiled the fourth issue of her diversity-focused women's magazine, Vol Up 2. D'Amour, 46, launched the quarterly publication in February last year in a bid to encourage women to embrace their 'imperfections' and be proud of their bodies. It features plus-size as well as mainstream models. Through working in fashion - as a model, photographer and now magazine editor - D’Amour has many thoughts on the status of modeling and the changes she would like to see happen.

 
She spoke in an interview 'The women we hold as icons of beauty are not happy. And if they’re not happy, who is happy. All the images that are out in the media are the same - the 16-year old white girl who is totally emaciated, with  older women being excluded and different ethnicities never being shown.
 
 
 

D’Amour, the youngest of five children from Rochester, New York, said she always dreamed of being a fashion illustrator or designer and would look at 1940s photos of her parents for inspiration. I became obsessed with the more eccentric styles,' she says. But because the illustration field was dying out, D’Amour turned her hand to artwork, photography, and performance arts. 'At the time everyone was coked up and maybe 44 kgs. So I went down to 53 kgs and model agents said I was still too fat'  She moved to Manhattan to study at the School of Visual Arts. With a great bone structure and long curly hair, people would often mistake her for a model. They’d say you have the face of talent,' she says.
 
IMG models showed interest in her, the same agency representing Gisele Bundchen, Heidi Klum, and Alek Wek, but D'Amour says she couldn't lose enough weight. At the time she tipped the scales
at a light 140lbs. '
At the time everyone was completely coked up and maybe ,' she added. 'So I went down to 117 and they said I was still too fat.' Feeling rejected, she went on to focus on photography, spending a year studying in Italy under American photographer James White before returning to New York.
 


Her big break came when she made headlines after appearing as a plus-size model in Jean-Paul Gaultier's Paris Fashion Week show in October 2006. She also made a catwalk appearance in John Galliano's runway presentation entitled 'Everybody is Beautiful' the same season, scoring her a spot in French Vogue shot by photographer Nick Knight. Critics have accused D'Amour of 'promoting obesity' but she insists she is healthy and has no high blood pressure or cholesterol problems. Unlike many of her contemporaries, she says she does not abuse drugs, alcohol or cigarettes.
 
                                                
weighting only 53 kgs she was rejected by the modeling agencies for being too big
Embracing her curves, she says she feels confident now and not embarrassed by her body                                                        


 
Big, Bold and Beautiful..........................
 
Work it girl....................