Kwa wanawake wengi hili litaonekana kama ni jambo la ajabu kwani wengi wetu huwa tunahangaika sana kuhakikisha kuwa watoto wetu na hasa walio katika umri mdogo ili waweze kuongezeka uzito, lakini kwa mwanamama Eunice Fandino mwenye mtoto wa umri wa miezi 8 kwake imekuwa ni kinyume ambapo amekuwa na uzito mkubwa sana tofauti na watoto wengine wa umri wake ambapo ana uzito wa kilo zaidi ya 22.
Eunice Fandino akiwa na mwanae Bogota mwenye miezi 8 na uzito wa zaidi ya kilo 22 |
Mama huyu alianza kuona kuwa kuna tatizo pale ambpo kutokana na uzito mkubwa aliokuwa nao mwanye alishindwa kuanza hatua za kawaida za watoto kama kutambaa na kusimaa na ndipo alipoamua kumpeleka mtoto wake hospitali ili kupata msaada wa wataalamu. kutokana na hali halisi ya mtoto huyo kuwa sio ya kawaida imedibisi ahamishiwe katika hospitali ya Bogota kwa ajili ya msaada zaidi wa kitaalamu. Anasema kuwa toka laipokuwa mchanga alikuwa alikuwa anamlisha kila wakati alipokuwa akiamka na kulia na kuwa kutokana na hilo amekuwa akingezeka uzito kwa harakla sana na ndipo aliponza kuona kuwa kuna tatizo pale aliposhindwa kuanza kutambaa kama watoito wengine
No comments:
Post a Comment