Pages

Tuesday, March 25, 2014

KIM KARDASHIAN KATIKA JARIDA MAARUFU LA VOGUE

Kwa muda mrefu gazeti hili la Vogue limeweza kujipatia umaarufu mkubwa kwa miaka mingi toka lilipoanzishwa mwaka 1920 likiandika babari na taarifa zinazohusu mitindo na watu maarufu Marekani na duniani kwa jumla. Mpaka Oktoba 2013, gazeti hili limkuewa likitoa nakala 11.3 milioni na ina tovuti yenye kusomwa na watu 1.6 milioni kwa mwezi, ambapo wasomaji wa gazeti hjili 87% ni wanawake  na 13% ni wanaume. Le Bron Jmes mcheza kikapu wa Marekani ndo alikuwa mwanaume wa kwanza mwenye rangi nyeusi habari zake kuchapwa na gazeti hilo ni hilo ndio limekuwa mojawapo ya lawama nyingi amabzo gazeti hilo linarushiwa kwa kupndelea kutoa habari za weupe zaidi kuliko weusi. Hivyo Kim na mwenza wake Kanye walipoweza kutoka katika gazeti hili kumekuwa na mchnganyiko wa mrejesho kutoka kwa wasomaji wa gazeti hili wengine wakifurahia na wengine wakiponda uamuzi huo. Hata hivyo Kim mwenyewe amekuwa na furaha kubwa sana kwa kutoka katika gazeti hilo yeye na Kanye wakiwa na mtoto wao North

ukurasa wa mbele wa gazeti hilo maarufu duniani

Intimate moment: In another shot, Kim and Kanye are seen close up as they share a tender kiss
The Couple Kimye
.
Inside Kim Kardashian and Kanye West's Private Time with Baby North (ABC News)
moja ya picha zilitoka katika gazeti hilo za Kim akiwa na Knye na mtoto wao Nori

No comments:

Post a Comment