Pages

Tuesday, March 25, 2014

KIM KARDASHIAN KATIKA JARIDA MAARUFU LA VOGUE

Kwa muda mrefu gazeti hili la Vogue limeweza kujipatia umaarufu mkubwa kwa miaka mingi toka lilipoanzishwa mwaka 1920 likiandika babari na taarifa zinazohusu mitindo na watu maarufu Marekani na duniani kwa jumla. Mpaka Oktoba 2013, gazeti hili limkuewa likitoa nakala 11.3 milioni na ina tovuti yenye kusomwa na watu 1.6 milioni kwa mwezi, ambapo wasomaji wa gazeti hjili 87% ni wanawake  na 13% ni wanaume. Le Bron Jmes mcheza kikapu wa Marekani ndo alikuwa mwanaume wa kwanza mwenye rangi nyeusi habari zake kuchapwa na gazeti hilo ni hilo ndio limekuwa mojawapo ya lawama nyingi amabzo gazeti hilo linarushiwa kwa kupndelea kutoa habari za weupe zaidi kuliko weusi. Hivyo Kim na mwenza wake Kanye walipoweza kutoka katika gazeti hili kumekuwa na mchnganyiko wa mrejesho kutoka kwa wasomaji wa gazeti hili wengine wakifurahia na wengine wakiponda uamuzi huo. Hata hivyo Kim mwenyewe amekuwa na furaha kubwa sana kwa kutoka katika gazeti hilo yeye na Kanye wakiwa na mtoto wao North

ukurasa wa mbele wa gazeti hilo maarufu duniani

Intimate moment: In another shot, Kim and Kanye are seen close up as they share a tender kiss
The Couple Kimye
.
Inside Kim Kardashian and Kanye West's Private Time with Baby North (ABC News)
moja ya picha zilitoka katika gazeti hilo za Kim akiwa na Knye na mtoto wao Nori

KUTANA NA MTOTO MWENYE UMRI WA MIEZI 8 NA KILO ZAIDI YA 22

Kwa wanawake wengi hili litaonekana kama ni jambo la ajabu kwani wengi wetu huwa tunahangaika sana kuhakikisha kuwa watoto wetu na hasa walio katika umri mdogo ili waweze kuongezeka uzito, lakini kwa mwanamama Eunice Fandino mwenye mtoto wa umri wa miezi 8 kwake imekuwa ni kinyume ambapo amekuwa na uzito mkubwa sana tofauti na watoto wengine wa umri wake ambapo ana uzito wa kilo zaidi ya 22.




Eunice Fandino akiwa na mwanae Bogota mwenye miezi 8 na uzito wa zaidi ya kilo 22
Mama huyu alianza kuona kuwa kuna tatizo pale ambpo kutokana na uzito mkubwa aliokuwa nao mwanye alishindwa kuanza hatua za kawaida za watoto kama kutambaa na kusimaa na ndipo alipoamua kumpeleka mtoto wake hospitali ili kupata msaada wa wataalamu. kutokana na hali halisi ya mtoto huyo kuwa sio ya kawaida imedibisi ahamishiwe katika hospitali ya Bogota kwa ajili ya msaada zaidi wa kitaalamu. Anasema kuwa toka laipokuwa mchanga alikuwa alikuwa anamlisha kila wakati alipokuwa akiamka na kulia na kuwa kutokana na hilo amekuwa akingezeka uzito kwa harakla sana na ndipo aliponza kuona kuwa kuna tatizo pale aliposhindwa kuanza kutambaa kama watoito wengine


"SELFIES" ZINAPOPITILIZA

kijana Danny Bowman wa nchini Uingereza ameifanya selfie kuwa hatari ambayo ingeweza hata kuhatarisha maisha yake pale alipotumia muda wake mwaingi kwa siku akichukua picha hizo na kuhakikisha kuwa anapata iliyo bora kabisa na isiyo na kasoro yoyote ile, ambapo kuna siku aliweza kutumia hadi saa kumi kwa siku akiwa anaweka mapozi mbalimbali ili kupata picha iliyo bora kabisa u maarufu kwa jina la selfie
kijana Danny Bowman

Tatizo hili lilianza akiwa na miaka 15 na ililimfanya aache shule na kupoteza uzito ambapo mama yake Penny alijaribu kumsaidia bila mafanikio yoyote, hadi alipotafuta msaada wa wataalamu wa magonjwa ya akili na sasa anaendelea na matibabu ambayo wataalamu wameyapa jina la OCD and  Body dysmorphic disorder (wasiwasi uliozidi kuhusu muonekano wa mtu)




akiwa na daktari wake alipokuwa akihojiwa kuhusu tatizo lake katika kipindi cha televisheni
Kabla ya kuanza kupata matibabu hayo alishwahi jaribu kujiua kwa kunywa vidonge vingi na pia kwa wakati fulani aliweza kukaa ndani ya nyumba yao kwa muda wa miezi sita bila kutoka nje hata kidogo.



SAD NEWS......OUR GRANDMA PASSED ON

Hello my readers sorry that i had to take leave of absence from blogging due to reasons beyond my control but i am back now and i promise you that i will keep on posting as i did. on 14th March this year i lost my beloved grandma Immakulata Samkongwa Kisahali after short illness. She was a very loving and strong woman, she lived by principles and she gave the words strength of a woman a whole new definition. She was laid to rest at Njombe, Mjomwema on 18th March 2014, at her village Mjimwema. She is survived by  09 children, 37 grandchildren, 26 great grand children and 04 great great grand children. Her husband, my granddad Simon Kisahali passed on 10 years ago
They will always have place in our memories. RIP IMMAKULATA AND SIMON KISAHALI
Nikiwa na marehemu bibi nilipomtembelea kijijini Mjimwema mwaka 2012

Mahali alipozikwa mkoani Njombe, Mjimwema tarehe 18.03.2014