Pages

Monday, December 30, 2013

DREADLOCKS!!!

Dread locks has always been y thing. I love the look, the style, the unique look it gives to a person, well i love everything about it #teamnatural# I went online and i found these styles so refreshing and unique...Tell me what do you think of these styles and dreads in general? You like them? if given chance would you rock dreads too?


BIG AND PROUD OF IT??

Ni mwanamke wa kimarekani kutoka mji wa Chicago, Sara Massey ambaye anajitambia na umbo lake kubwa ambapo mzunguko wa makalio yake pekee una kipimo cha futi 7, yaani hii ni sawa na urefu wa mtu kama Hasheem Thabeet!!!! Mama huyo mwenye watoto wawili anasema anajivuni umbo lake hilo, japokuwa pia linamletea matatizo ya kukaa, kuoita katika milago, kujifunga mikanda akiwa katika gari bna mamb mengi ya namna hiyo. Kwa kutafakari tu baada ya kuiona habari hii ni wazi kuwa pamoja na kujivunia umbo kubwa na kuwa na amani nalo bado kuna umuhimu wa huyu mama kuangalia namna ya kupunguza kidogo huo mwili maana ni mlango kwa magonjwa mengi ikiwemo ya moyo na anaweza fkia mahyalia akashindwa hata kunyayuka kabisa.   Angalia picha hizi hapa chini, niambie what do you think?

Record-breaking rear: Sarah Massey shows off her seven foot wide posterior while cooking at home
jikoni akishughulika



kwa ukubwa wa wowow lake mtu anakaa juu yake bila wasiwasi kama kakalia kiti vile

kufunga mkanda akiwa garini ni issue, hapo hujazungumzia kwenye ndege, mabasi etc

akiwa mazoezini, mkao wa  huyo trainer unaonyesha kabisa kuwa hategemei makubwa kutoka kwa mteja wake..

FROM MY BACKYARD

Nakumbuka hivi viazi miaka ya nyuma vilikuwa so popular and all over the place, tulikuwa tunapenda kuviita viazi vya njano au viazi karoti na utamu wake ulikuwa ni balaa, kulinganisha na viazi vingine. Baadaye vikawa vimepotea kabisa sokoni hata uienda inakuwa ni kwa kubahatisha na halafu huwezi kuvipata vingi. Juzijuzi pia katika vyombo vya habari nmesikia kampeni ya kuhamasiha wakulima kuvipanda viazi hivi kwani vina ubora wa kilishe na hata kibiashara kulinganisha na vilivyopo. So ilitokea kwa bahati nilipata mbegu za viazi hivi kibahari tu kwani mm nilitaka kwa ajili ya matembele ndio nikapewa na baada ya kupanda kwenye kaeneo kadogo sana sikuwa   hata na matarajio yoyote ya viazi maana mm shida ilikuwa ni matembele, kweli mvua zikanyesha na baada ya muda kupita tukashangaa kuona vimetutumka kwa juu ya ardhi, yaani kwenye mashindna yaliyokuwa hayafiki hata matano tulipata viazi vikubwa na vya kutosha kabisa..#happyface# so next year, um ... in few days to come nitavipanda kwa wingi mvua tu zikianza ili nivipate kwa wingi..#kilimokwanza#

Viazi vitamu vikiwa shambani

 


nilivyovivuna bustanini kwangu vikiwa vimeandaliwa kwa kukaangwa....


MICHAEL SCHUMACHER MAHUTUTI BAADA YA KUPATA AJALI

Habari za kusikitisha kutokana na taarifa hizi, jina hili so geni na hasa kwa kwa wale wanaofuatilia sana mbio za magari za Forular One na nyinginezo, ambapo mshindi wa mara nyingi wa mbio za magari za formular One wa Ujerumani Michael Schumacher yupo mahututi na akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata ajali wakati akiwa katika mchezo a kuteleza katika barafu na mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka 14 anayeita Mick.

Schumacher mwenye umri wa miaka 44, alijiuzulu katika mashindano hayo ya magari ya F1 akiwa amejipatia heshima ya dereva bora kabisa ambaye hajawahi kutokea na akiwa ameshinda mara saba taji hilo, inasemekena ameumia kutokana na ubongo wake kuvuja damu na alikuwa amevaa helmet wakati alipopata ajali hiyo alipoenda kugonga katika jiwe kubwa wakati akiteleza kwenye barafu katika safu za milima ya Alps iliyopo Ufaransa huko Maribel.


akiwa na mwanaye Mick mwenye umri wa miaka 14 aliyekuwa naye ajali ilipotokea

akiwa na mkewe Corrina

akiwa katika mchezo huo wa kuteleza katika barafu uliosababisha ajali husika

THE YOUNGEST MOTHER ON EARTH



Sometimes when you hear stories that goes around and witness what is happening it is very easy to give up on life and everything else. I was going through the news and i saw this headlines which made me sick to my stomach, apparently thhere are sick men out there who are having "sex" with as young girls as 5 year olds SMH... How sick is that??? Here is the story culled from the UK's Mirror with Sothern American countries seeming to head the pack.

A Mexican girl has become one of the world’s youngest mothers after giving birth aged just NINE .
The youngster, named only as Dafne, gave birth to a 6lb baby girl on January 27 at the Zoquipan Hospital, in Mexico's western Jalisco state.
But the young girl is in fact four years older than the youngest mother in medical history, who was just FIVE when she gave birth.

Here is a run down of the 10 youngest mums…
1. Lina Medina, from Ticrapo in Peru, gave birth to a baby boy named Gerardo by caesarean section aged five years and seven months old in May 1939. Her parents thought she had a tumour but when she was taken to hospital, she was found to be seven months pregnant.
2. Yelizaveta "Liza" Gryshchenko had just turned six when she gave birth to a stillborn baby girl in the Soviet Union in August 1934. The infant’s father was Liza’s 69-year-old maternal grandfather. The family emigrated after the scandal.
3. A six-year-old girl, known only as ‘H’ gave birth to a daughter by caesarean section in June 1972 in Delhi, India. She was initially admitted to hospital with what was thought to be an abdominal tumour.
4. An unidentified Indian girl died during childbirth, along with her baby, in August 1933. She was just eight years old.
5. Griseldina Acuña, from Colombia, reportedly began menstruating at three and gave birth to a baby boy in September 1936, aged eight years and two months. The father is thought to have been a family friend.
6. Mum-Zi, from the island of Calabar in Nigeria, became a mother aged eight years and four months in August 1884. Her daughter also gave birth at a very young age, making Mum-Zi a grandmother aged 17. Both were part of Chief Akkiri’s harem.
7. A Colombian girl was found to be pregnant after a policeman spotted the girl’s swollen abdomen and suspected she was smuggling drugs. A scan revealed the girl was 32 weeks pregnant and she gave birth aged eight years and five months old in September 2004.
8. ‘Anna’ gave birth to her 13-year-old neighbour’s baby aged eight years and seven months old. The Muslim Chechen, from Russia, was the youngest mother in Eastern Europe for six decades after daughter Dasha was born in April 2000.
9. Hilda Trujillo, from Peru, welcomed daughter Maria del Rosario in December 1957 when she was eight years and seven months old. The baby’s father was a 22-year-iold cousin who raped her and was later arrested.
10. Zi, daughter of Mum-Zi (see number 6) gave birth aged eight years and eight months old in August 1893. Her child’s father was also Chief Akkiri

Monday, December 16, 2013

DONT TRY THIS AT HOME PLEASE!!!!

Prem Singh amekuwa kivutio kikubwa anapokuwa katika kazi yake ya upishi

anaonekana akitumbukiza mkono wake katika kikaangio cha mafuta ya moto bila kuathirika kwa namna yoyote

Akiendelea kuonyesha kipaji uwezo wake huo, Nimechanganyikiwa hapa ni kipaji hiki, mazingaombwe au uwezo..???

kiwe kidole kimoja, vidole vingi, mkono mzima mwisho wa siku haungui hata kiduchu kidogo lol!!!!

Hapa anaonekana akiwa katika duka lake linalouza maakuli moja kwa moja toka jikoni.

Duka lake linayoonekana kwa nje, alirithi kazi hii kutoka kwa baba yake, sehemu ya Old Delhi tangu mwaka 1960
Singh said: 'Everyone wants me to dip my hand into hot oil. They want to see how I do it.'
Singh's father started the small shop called Ganesh in Old Delhi in 1960.
Katika duka lake hilo lililojipatia umaarufu maeneo hayo, Bw. Singh amekuwa akiuza samaki wa kukaanga lakini pia napika vitafuni vingine vyenye asili ya kihindi kama kababu na kuku aina ya tandoori, anasema kuwa kwa siku huweza kuuza mamia ya kilo za samaki kwa wateja mbalimbali kutokana pia na wateja wengi wanaokuja kuona namna anavyotumia mikono yake kupika kwa kuitumbukiza ndani ya kikaango cha mafuta ya moto ambayo hufikia nyuzi joto 200!!!!!

Anasema pia kuwa huweza kupata wateja hata kutoka nje ya mji anaoishi kwa ajili ya kuja kuona na kuonja ladha ya mapishi yaho tunayoweza kuyaiota ya ajabu., mmoja wa wateja wake wa kila siku Bw. Dipesh anasema kuwa yeye huwa anakuja mara kwa mara na anapofika tu Delhi, kitu cha kwanza anachofanya ni kuja kuonja samaki hao..." huwa nashangazwa sana na namna bwana huyu anavyotumbukiza mkono wake kutoa samaki au kugeuza samaki wakiwa kikaangoni, ni ngumu kueleza au kuamini hadi unaposhuhudia kwa macho yako mwenyewe, lakini pamoja na maajabu ya kutumia mikono yake, pia kuna ladha ya pekee kabisa unapoonja samaki wake"


Watoto wawili wa Bw. Singh sasa wanashirikishwa na baba yao katika biashara hiyo, mtoto mkubwa Deepak anasema kuwa na wao wamejiunga katika bishara hiyo ya familia ambayo babu yao na baba yao wameianzisha. Wanaendelea kueleza kuwa wao wanataka kuiboresha zaidi ili iwe kubwa bna bora zaidi. Naye Bw. Singh anatumaini kuwa watoto wake watadumisha utamaduni wa kukaanga kwa kutumia mikono...anasema " wanaweza kabisa kuifanya, wanachohitaji ni kujizoesha tu, wakieendelea kujaribu watazoea na mwisho wataweza kufanya kama mimi ninavyofanya" Mhhhh!!! haya baba tumekusikia....ni kazi rahisi sana kutumia mkono badala ya mwiko katika kikaangio cha mafuta.....;-)

KIGANJA CHASHONEWA MGUUNI......!!!!!!!!!!!!

Madaktari huko China wamefanikiwa kuunganisha mkono uliokatika wa majeruhi wa ajali na kuunganisha katika mguu wake ikiwa ni katika jiihada za kuufanya mkno huo uweze kutumika tena hapo baadaye pale utakaporudishiwa mahali ulipokatikia. mnamo November 10, 2013 Xiao Wei alikatika mkno sehemu ya juu kidogo ya kiganja baada kupata ajali akiwa kazini na anasema kuwa mara baada ya mashine kuukata mkono wake, wafanyakazi wenzake walizima mashine na kuuokota mkono kisha kumuwahisha hospitali    ..." sikuweza kusikia maumivu wala kufanya chochote , hakika nilikuwa katika mshtuko mkubwa"
Mmoja wa madaktari hao analeza kuwa majeraha yake yalikuwa ni makubwa sana, pamoja na kukatika, mkono huo pia ulikuwa umekandamizwa na mashine na kuwa bapa kabisa, hivyo ilibidi kwanza kuyatibu majeraha yake kabla ya kuurudishia mkoo katika sehemu yake. Wanaendelea kueleza kuwa baada ya kutibiwa kwa mwezi mzima, tuna uhakika Xiao, anaweza kufanyiwa upasuaji wa kurudishiwa mkono wake kwa mafanikio.




Kipande cha mkono kikiwa kimeshonelewa katika mguu wa Xiao ili baadaye kiondolewe na kushonewa mahali ulipokatikia


daktari akiwa na mgonjwa tayari kwa kuondoa kipande cha mkno ili kuweza kurudishiwa sehemu husika.


Kipande cha mkono kikiwa tayari kimerudishiwa katika kiwiko kilipokatikia.




Tuesday, December 3, 2013

HAPPY BIRTDAY TO ME

ZAB 124
1  Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa, 2  Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia. 3  Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu 4  Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu; 5  Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo. 6  Na ahimidiwe Bwana; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao. 7  Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka. 8  Msaada wetu u katika jina la Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi
 
 


Today I have become a year older, looking back I am forever grateful and thankful  for all that the Lord has been doing and blessed me for the past years... For everything that has happened in my life, I will always be thankful to almighty God. For the hits and misses, for the gains and loses, for my parents and grandparents, for my Husband and my kids, for my siblings and my friends, and acquaintances, you all are the reason I have become what I am today.

HAPPY BIRTHDAY TO ME AND MANY MORE HAPPY RETURNS

Monday, December 2, 2013

WHO WORE IT BETTER?

Jennifer Hudson wore her jersey dress while promoting her music on ‘Live with Kelly and Michael’ back in early September when she elevated her look with Giuseppe Zanotti sexy sandals.
 
Giuseppe Zanotti was also Jennifer Lopez’s choice of footwear; she opted for a bold purple hue to offset the print of her club-hopping look, worn at Hakkasan Las Vegas last month.
 
Katy B made it a threepeat, wearing her body-con look with Sophia Webster heels and a clutch by the same designer.
 
Who Wore Christopher Kane Better Jennifer Hudson, Jennifer Lopez or Katy B
So who do you think wore the short number  better? 
 

ALICIA KEYS KATIKA TUZO ZA MUZIKI NCHINI AUSTRALIA

Mshindi kwa zaidi ya mara 14 wa tuzo za muziki za Grammy Alicia Keys, ameshirkia katika tuzo za muziki wa nchi ya Australia (ARIA) na na kutoa zawadi kwa washindi wa tuzo hizo pamoja na kupata nafasi ya kutumbuiza kwa ajili ya wageni waalikwa na washindi waliotangazwa siku hiyo kupitia tuzo hizo.
A welcome guest! Superstar Alicia Keys was a special guest at Australia's biggest music awards night, the ARIA Awards, held in Sydney on Sunday
Umbo la kiafrika hasa,akiwa anaelekea kutangaza mshindi wa tuzo hizo
Making an impression: The stunning singer wore a plunging lemon coloured gown to the Australian event    Making an impression: The stunning singer wore a plunging lemon coloured gown to the Australian event
Ndani ya gauni lililobuniwa na mbunifu maarufu Stella McCartney....I love it.....

Putting on a show: Alicia sang her heart out while she played the keys on the Australian stage

Akitumbuiza katika tuzo hizo...

KUFANYA "MANICURE" MARA KWA MARA HUHARIBU KUCHA

Improvement: Rebecca's nails after spending nearly £200 getting them back in shape
muonekano mzuri wa kucha hushawishi kuzifanyia manicure kucha mara kwa mara
 
 
Wanawake wengi na mimi nikiwa mmojawapo, huwa wanapenda sana kutengeneza kucha zao na kuzifanya ziwe katika muonekano mzuri na unaovutia au kwa kidhungu inafahamika kama "manicure"  habari hizi zinaeleza kuwa kufanya manicure ikiwa na maana ya ile hatua ya kukawangua kucha mara kwa  mara huondoa ile tabaka ya juu ya kucha na kuicah kucha ikiwa exposed na ni rahisi sana kupata maambukizi kupitia ngozi laini katika kucha, na pia huweza kusababisha kansa ya ngozi.
 
Nail fail: New, more aggressive styles of nail treatment are leaving women vulnerable to infections, rashes and even skin cancer

Inaelezwa pia kuwa kuweka kucha aina 'acrylic' mara kwa mara na kwa muda mrefu pia husababisha kucha kuharibika kwani kwani kucha huhitaji kukwanguliwa mara kwa mara na kisha baadaya hufunikwa kwa juu na kucha ya bandia ambayo huinyima uhuru kwa kupumua na kuifanya iwe laini sana na huweza kuvunjika au kuweka mipasuko ambayo huweza pia kusababisha maambukizi.
 
 
Damaged: Rebecca Mills's nails after her false nails were improperly removed
Acrylic pia iwapo zitawekwa mara kwa mara husababisha madhara makubwa kwa kucha za asili.
 
 

hivyo inashauriwa kuwa pamoja na kuataka utanashati huu wa kufanya manicure au kuweka acrylic nails, basi ni muhimu pia kufanya hivyo kwa utaratibu maalumu, yaani isiwe mara kwa mara, kutumia pia vifaa safi ambavyo vinaondoa uwezekano wa kuweka maambukizi katika kucha pamoja na kuacha kukwangua kucha kila mara unapomtembelea mtaalamu wako wa kucha.
 

SO RIHANNA IS DADDY'S LITTLE GIRL AFTER ALL.....

When you read all the stories and stunts she pulls it is hard to believe that beneath that hardcore, I don't give a d*mn attitude, she is all daddy's little girl. Rihanna showed just how close she is to her dad when the gave her a surprised visit her at Montage hotel in Beverly Hills. Read the rest of the story culled from Daily Mail

On Sunday, while leaving the Montage hotel in Beverly Hills, megastar Rihanna was shocked when she made a startling discovery... Her father, Ronald Fenty.

Fenty decided to surprise his 25-year-old daughter by making an unannounced visit to the singer.  As she and a friend were about to head down to DreamWorks Studios, the songstress discovered her father was waiting for her by the car.

Rihanna, who was wearing a bright blue Fila baseball cap and oversized grey hoodie sweatshirt with matching workout trousers, stood in awe with her mouth agape at the sight of her father.
The Diamonds singer quickly rushed over to her father, where the two embraced.
Rihanna was heading into the studio for work on the new Dream Works Animation comedy Home. The pop singer plays Tip, a teenage girl who stands up to an alien invasion by avoiding capture.
Later that evening, Rihanna accompanied her brother Rajad as the siblings sat courtside at the Los Angeles Lakers vs. Portland Trail Blazers game at Staples Center in downtown Los Angeles.


Family reunion: An unannounced Ronald Fenty waited by the car while his daughter Rihanna came out of the hotel
An unannounced Ronald Fenty waited by the car while Rihanna emerged from her hotel



Best seats in the house: Rajad Fenty has a great time at the Laker game with his big sister Rihanna

Rajad Fenty has a great time at the Laker game with his big sister Rihanna

Happy times: Rihanna beams a smile, clearly enjoying the day she spent with her familyRihanna beams a smile, clearly enjoying the day she spent with her family